With a unique type of afro fussion Pachagazine notices the potential of this amaizing talent all the way from the land of bongo, Dar es Salaam Tanzania. Get the juice on this exclusive with the talented song bird Aviola.

Pachagazine: What are your names? 

Aviola: I’m Christer bellah Allan and stage name is Aviola.

Pachagazine: Why Aviola? how did you come up with your name?

Aviola: Aviola Ni jina ambalo limetokana na chombo kinachotoa sauti ya muziki kinaitwa Violin, wakati  mwingine unaweza kuita chombo hicho Aviola.

Pachagazine: Where did you grow up from?

Aviola: Nimezaliwa mkoani Ruvuma, Songea mtaa wa Mjimwema ndipo nimekuwa kule, elimu yangu ya msingi na sekondari nimepatia huko isipokuwa elimu ya chuo kikuu, nilipata nje mkoa huo.

Pachagazine: When did you discover your talent? 

Aviola: Back when I was 11 years old.

Pachagazine: Which genre do you do?

Aviola: I’m doing Baibuda and sometimes I do Afro Pop.

Pachagazine: Baibuda, could you please breakdown to us which genre it is.

Aviola: Baibuda ni mziki wenye maadhi kama kaswida ama taarabu fulani ndani yake,

Style hii hufanywa zaidi na wasanii kama Mbosso, Zuchu pia Lavalava na wengineo.

Pachagazine: Are you under any label?

Aviola: Mimi ni msanii ambaye najitegemea kwa sasa, sipo kwenye lebel yoyote au management, ila kaka yangu ndiye hunisaidia na baadhi ya vitu.

Pachagazine: Any project you’ve done, take us through one.

Aviola: Kwa saa juu nipo na kazi mbili ambazo bado kuwa official, but miezi miwili iliyopita nilitoa audio moja ambayo inaitwa Sare.

Sare ni wimbo unaozungumzia wapenzi wanaopendana.

Pachagazine: Who’s your role model back there in Tanzania and across the globe.

Aviola: Humu inchini ni Zuchu,

nje ya Tanzania ni Beyonce, sauti lake lanivutia mno.

Pachagazine: Who would you love to do collaborations with?

Aviola: Ningetamani kufanya na Marioo kwanza.

Pachagazine: Do you do music fulltime or part time?

Aviola: Music is part of my life and one day it will repay me. Kwa sasa ni fulltime.

Pachagazine: What are the challenges you come across with?

Aviola: Hela ni changamoto mwanzo, wasanii ni wengi wakati huu. Lakini hayo hayanizuii kufanya mziki.

Pachagazine: What do you enjoy most about being a musician?

Aviola: Na enjoy sana napoandika mashairi yangu sehemu ya ukimya, hii hali hunipeleka mbali sana kihisia, nakuamini music is part of my life.

Pachaganize: What do you hate most?

Aviola: Nachukia sana jinsi wanaume wanavyotuchukulia wasanii wakike.

Pachagazine: Mawaitha gani unawezapea wale ambao  wanakutazamia, na wangependa kua msanii kama wewe.

Aviola: Kama unakipawa ndani yako cha Muziki, usiogope fanya hata kama utajiogopa kiasi gani wewe fanya, tena kwa ukubwa zaidi na kwa imani ikiwa na mipango, hakika itakuja kuzaa matunda ambayo hukutaraji, japo safari huwaga ngumu mno, njiani utakutana na watu wakukatisha tamaa, hutakiwi kusikiliza, zaidi angalia walofanikiwa zaidi katika Sana ya Muziki, na pia wewe haezakua kama wao.

Pachagazine: Where do you see yourself in the next 5 years in your career?

Aviola: Shauku yangu baada ya miaka hiyo, huko Kenya wawe washanielewa vizuri na kujizolea mashabiki wengi kutoka huko ,ila all in all MUNGU atanifanikishia shauku yangu.

Pachagazine: Final word you can tell your fans out there, concerning this corona pandemic situation we’re currently facing.

Aviola: To my fans, nawaomba wanipokee na nawaahidi kuwapa kazi nzuri zenye ladha ya muziki wa Africa kabisa.

Corona is everywhere, but kwa Tanzania tupo tunapambana nayo kwakuwa ipo, na tunahaswa sana na Rais wetu Mama Samia Suluhu kufuata taratibu zinazoweza kutukinga na maradhi haya.

Tuzidi kumuomba MUNGU pia katika hili janga.

Pachagazine: How can people find you music?

Aviola:

Instagram: Official_Aviola

Youtube: Offical Aviola

About Author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


The reCAPTCHA verification period has expired. Please reload the page.